Wana jf je mtoto wa nje ya ndoa ana haki kisheria ?

Inategemea na dini mimi nina binamu/cousins zangu wawili walizaliwa nje ya ndoa licha ya kwamba imani ya baba yao inaruhusu kuoa wake hadi wanne lakini kwa sababu zisizojulikana mama yao hakuolewa na hivyo wakabaki kuwa watoto wa nje ya ndoa. Baba yao aliwasomesha na kuwatunza na alikuwa na mali nyingi alipoaga dunia ukasomwa waraka alouacha kuwa watoto zake ni 7 kati ya hao watoto wa tano ni watoto wa ndoa na wawili ni wa nje ya ndoa. Akaelezea kuwa warithi wa mali zake ni wale watano wale wengine wawili ameshawapa urithi wao wakati angali hai kwa namna taratibu za dini yake zinavyoelekeza. Hivyo basi hitimisho ni kwamba utaratibu wa dini yake ni kwamba mtoto wa nje ya ndoa haruhusiwi kurithi chochote . Baba anatakiwa kumkabidhi vyake akiwa angali hai.

Binamu zangu walikuwa mbioni kwenda mahakamani walihisi wameonewa japo waraka uliochwa na marehemu ulikuwa umekamilika kisheria. Na ulisomwa na mwanasheria wa familia.
 
Sheria ya dini inapokinzana na katiba au sheria nyingine ya nchi,hiyo sheria ya din au ya jadi inakuwa batili.Watoto wote wana haki sawa.
 
Kuna baadhi ya sheria mfano ndoa inavipengele inafata sheria ya dini na mila. Nahisi hata kwenye urithi inakubaliana na sheria ya dini.
 
Nakwambia hivi,inapokinzana na katiba ya nchi na sheria za bunge ,hiyo sheria inakuwa ni batili.Kasome kesi ya Holaria Pastory and Gervas Kaizirege v.Ephraim Bernardo au Fatuma Mselem v.Haruna Makwata,kasome,Peter Ngomango v.Mwangwa and AG.Nenda kasome na Kukutia Ole Pumpun v.Dpp au Daud Pete v.Dpp.Sheria kuu ni katiba.

Tusaidie hiyo katiba/sheria inasemaje
Kasome ibara ya 30(5) ya katiba ya jamuhuei ya Muungano ya 1977 pamoja na mabadiriko yake. Kaa ukifahamu haki zote za binadamu zipo ndani ya katiba kuanzia ibara ya 12 hadi 24 na zikikiukwa na mamlaka au sheria vyoyote basi mahakama inauwezo wakuzitangaza sheria hizo kuwa batili na kinyume cha katiba.Pia kuna sheria ya mtoto ,inatoa haki kwa watoto wote bila kujali ni wa ndani au nje ya ndoa
 
Inategemea na dini mimi nina binamu/cousins zangu wawili walizaliwa nje ya ndoa licha ya kwamba imani ya baba yao inaruhusu kuoa wake hadi wanne lakini kwa sababu zisizojulikana mama yao hakuolewa na hivyo wakabaki kuwa watoto wa nje ya ndoa. Baba yao aliwasomesha na kuwatunza na alikuwa na mali nyingi alipoaga dunia ukasomwa waraka alouacha kuwa watoto zake ni 7 kati ya hao watoto wa tano ni watoto wa ndoa na wawili ni wa nje ya ndoa. Akaelezea kuwa warithi wa mali zake ni wale watano wale wengine wawili ameshawapa urithi wao wakati angali hai kwa namna taratibu za dini yake zinavyoelekeza. Hivyo basi hitimisho ni kwamba utaratibu wa dini yake ni kwamba mtoto wa nje ya ndoa haruhusiwi kurithi chochote . Baba anatakiwa kumkabidhi vyake akiwa angali hai.

Binamu zangu walikuwa mbioni kwenda mahakamani walihisi wameonewa japo waraka uliochwa na marehemu ulikuwa umekamilika kisheria. Na ulisomwa na mwanasheria wa familia.
Achana na longolongo,sheria ya dini inamaliza kazi yake pale inapokili kuwa mtoto ni wa mzazi x au mke ni wa mume y.Likija suala la mali na haki nyingine,sheria za nchi zinashika hatamu unless kusiwe na dispute.
 
wale wa nje ya ndoa wanajua kabisa wao si warithi wa chochote kile labda wapewe tu kwa ajili ya ubinadamu
 
Kama watoto ni wa kwako na wanafahamika watendee sawa usisubiri sheria za nchi.. kama una wasiwasi na msimamo wa familia yako watengee urithi watoto wa nje mapema kabla hujaondoka duniani
 
Sheria ya dini inapokinzana na katiba au sheria nyingine ya nchi,hiyo sheria ya din au ya jadi inakuwa batili.Watoto wote wana haki sawa.

Nakwambia hivi,inapokinzana na katiba ya nchi na sheria za bunge ,hiyo sheria inakuwa ni batili.Kasome kesi ya Holaria Pastory and Gervas Kaizirege v.Ephraim Bernardo au Fatuma Mselem v.Haruna Makwata,kasome,Peter Ngomango v.Mwangwa and AG.Nenda kasome na Kukutia Ole Pumpun v.Dpp au Daud Pete v.Dpp.Sheria kuu ni katiba.

Achana na longolongo,sheria ya dini inamaliza kazi yake pale inapokili kuwa mtoto ni wa mzazi x au mke ni wa mume y.Likija suala la mali na haki nyingine,sheria za nchi zinashika hatamu unless kusiwe na dispute.
lakini pia usisahau WOSIA wa marehemu una nguvu na mahakama na watoto inapaswa kuueshimu hivyo labda useme sheria ya dini itakosa nguvu kukiwa hakuna Wosia uliopo kisheria
 
Yaani haiwezwkani mtoto akanyimwa haki kisa eti haba yake kasema asipewe.Kesi ya Holaria Pastory tukiitumia kama precedent (case law) ilimpa haki mama Holaria si ya kuitumia ardhi ya ukoo tuu ,bali hata kuiuza contrary to Haya customery law.Hata bwana Ephraim alipo kata rufani mahakama ya rufaa ,bado jopo la majaji walimpa haki hiyo.
 
Km baba ake ana akili timamu bas ana haki zote ila km ana shida kdg kichwan kuipata hiyo haki ni shida sn
 
lakini pia usisahau WOSIA wa marehemu una nguvu na mahakama na watoto inapaswa kuueshimu hivyo labda useme sheria ya dini itakosa nguvu kukiwa hakuna Wosia uliopo kisheria
Soma katiba ,ibara ya 64 (5).halafu soma ibara ya 24.Nenda kasome sheria ya mtoto.
 
Back
Top Bottom