CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
- Thread starter
-
- #21
Mawazo yako mazuri sana lakini jf wengi hawapendi kujulikana kazi zao. Ni wachache sana wanaojitangaza. Nashindwa kuelewa wengi wameajiriwa au wana biashara ila washaridhika na wateja wanaopata.
Ni sawa mkuu, but tunaweza songa mbele na wale walio tiyali hata kama ni 10, for starting na si razima hii kitu iwahusu walioko humu ndani tu, kama wandani hawako tiyali tutacheki na nje pia,
sawa sawa mkubwa. Halafu umezungumzia network ya wenye biashara. Vipi sisi ambao hatuna biashara hatuwezi ingia kwenye network kama wateja?
- mkuu unaweza anza mikakati ya kujiajiri from now, make hizi kazi za watu hazitabiliki hata siku moja make zinategemea na mwajiri anajisikiaje.
Mawazo yako mazuri sana lakini jf wengi hawapendi kujulikana kazi zao. Ni wachache sana wanaojitangaza. Nashindwa kuelewa wengi wameajiriwa au wana biashara ila washaridhika na wateja wanaopata.
Husninyo unasema tunaficha kazi zetu sio !!!!. Mimi ni mkulima.
Siku moja nilikwenda benki fulani ili nifungue a/c, sehemu ya kazi yangu nikajaza mimi mkulima mdogo yaani peasant. Kidogo nikose huduma hiyo,kwa hiyo wakati mwingine tunaficha kazi zetu kwa sababu ya udhaifu wetu.
Narudi ktk uzi, mimi nimejitambulisha kama mkulima na nimepata watu wa kuniunga mkono, biashara ninayotarajia kuifanya ni kuuza mbegu za wanyama bora kabisa kuanzia mwakani 2012, kama vile Vitewe/kuchi/bokea, mbuzi wanaozaa pacha, mbuzi wa maziwa, mbegu ya kambale na kitoga.Nimeshafanya majaribio.