Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Ndugu zangu Wana JF ningeomba kama kuna mtu anajuwa mambo yanayohusu Telnet anifahamishe ni jinsi gani namna ya kutumia hiyo Telnet mimi ninatumia Windows 7 ningeomba anaifundishe nama ya kutumia hiyo Network ya Telenet naombeni msaaada wenu asanteni sana.