Wana JF kwa wale wanao-oa mke wa pili au tatu... unamwambiaje mkeo uliye naye.!!??


hapo kwenye RED ee bwana umemaliza kila kitu, thank you saaaaana:A S 41::A S 41::A S 41::clap2::clap2::clap2::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up:
 
Hiyo namba saba ndo jibu sahihi.

Lakini jamani mwanaume anapotaka kuoa hawezi muuliza mkewe atakuja na jibu tayari mie naoa sio unaonaje nikioa??

Ila kiufupi ni Zinaa tu ndo zinasumbua hebu fikiria kwa upande wa pili kama mkeo nae angekuwa na mume humu ndani utajisikiaje??

Inauma sana basi tu wanawake wanakuwa wavumilivu, yaani unajua kabisa jamaa linachakachuachumba cha pili au nyumba ya pili na wewe umelala peke yako?? Yataka moyo aisee mimi na wivu wangu siwezi kabisa.
 

Labda hujasoma vizuri, ndoa ya tatu bado, ndio naitafuta.

Ningekuwa mimi ndio sina uwezo wa kuzaa, basi mwanamke angeniacha ni RUKSA kiIslam mwanamke kukuacha (soma post # 18).

Maswali mengine muulize Slaa, kwani nadhani kidini yake yeye anafanya "7. AU NI ZINAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA....tu mwanaume hataki kuwa wazi".
 

We! we! we! umemtaja slaa? 2taandamana we fanya mzaha 2.
 
Zinaa zinasumbua tu hapa mke mmoja anatosha yanini ujipe shida bwana???
 

Hongera kwa kuweka mawazo yako hapa ili upewe majibu.
Maana ya ndoa sijui kama unaifaham?
2-Zinaa ni tendo linalofanywa nje ya utaratibu .
Mfano imani ya islam...uzinifu ni tendo la (jimai) sex intercourse me/ke kutenda bila kuoana. Pia kuna kuikurubia hiyo zinaa. Kama kumshika me/ke ambae anaruhusiwa kukuoa/kuolewa. Pia kutazama sehem ambazo zitakupa vshawishi. Kimafunzo hilo lipo kimaadili zaidi na lina hikma zake. Ujue usilopenda kufanyiwa ww usiwafanyie wenzio...hata ukijipa moyo lile utakalo ww ukaona sawa..ukawa hujali hata likifanywa na mwingine. Bado mafundisho itasimamia uhalisi wake.
3- Ndoa za zaid ya mke 1 hutekelezwa na waislam. Pia hata kimila baadhi ya kabila wanatekeleza hayo. Zipo faida zake. Ni vzuri ufaham hayo yanatekelezwa kwa mujibu wa hizo imani. Ukiwa si muamin utaona ugum mkubwa. Pia wapo wataojiita ni waumin wa hizo sheria kwa bahati mbaya wasifaham nini lengo lake.
4-Imeruhusiwa mtu aoe zaidi lakini kwa masharti ya uadilifu . Aweze kujua wajibu wake kwao hao wake zake. Na mke pia ajue wajibu wake. 5- Utaweza kusema je kwanini na wanawake wasiolewe zaid ya mume mmoja?
Hilo ukilitazama kibaologia ndipo utajua magonjwa ni rahisi kupatikana. M/me anaouwezo wa ku do na wanawake wengi hata akiwarudia asiwaambukize maradhi. Tafauti na m/ke akichanganya wa/me ni rahisi kuupata au kupata maradhi. Japo ndivyo nlivyosikia wataalam. Kama yupo mjuzi zaid kwa hili lakibaiolojia atusaidie.
 

Na hao unaowaongeza wakiona huwatoshelezi kimapenzi, wafanye nini? Nao wataenda kwa daktari awashauri au wataamua wafanye nini?
 

Hizo sababu za kibailojia zinazomruhusu/mfanya mwanamume aoe/awe na mke zaidi ya mmoja na mwanamke awe na mume mmoja tu ni zipi?
 

Kuoa wake wengi:
1. Kuwa na manpower ya kutosha - kama mume ana mashamba au miradi inayohitaji nguvu kubwa
2. Ufusika! Full stop!
 
Na hao unaowaongeza wakiona huwatoshelezi kimapenzi, wafanye nini? Nao wataenda kwa daktari awashauri au wataamua wafanye nini?

Wakiona hawatoshelezeki kimapenzi wana haki ya kuniacha, huo ndio uIslam, sijui kwa dini zingine kama mwanamke hatoshelezwi kimapenzi na mumewe anaweza kumwacha?
 
Ukweli ni kwamba wanawake wengi wanaburuzwa tu na hawana jinsi nyingine ya kufanya wanaamua kukubali na kuugulia moyoni.
Ila wale wanaofunga ndoa sijui huwa hawasomi vyeti vyao kabla ya ku saini, kuna sehemu imeandikwa ndoa ya mke mmoja/wake wengi na kila mmoja wenu anadelete sehemu moja. sasa akina mama komaeni hapo kwenye hicho kipengere sio una saini tu ili uolewe, kwani ´uki delete mke mmoja jamaa akioa tena ana kuwa yuko sawa! Kwa bahati mbaya sana kipengere hiki kinaruhusu mume kuoa mke/wake wengine not the otherway round!
 
Ukewenza sifa kwa mijanaume mehu,msiba kwa wanawake walio ndani yake.
 

umesema SLAAAAAAAAAAA....????? ww utapata kipigo kutoka kwangu sasa hivi, stop that, au una DADA yako anatafuta mume
umpelekee Dr, hapa tunasema kuoa zaidi ya moja na mke wa kwanza aridhie, stop mixing issues
 
Wakiona hawatoshelezeki kimapenzi wana haki ya kuniacha, huo ndio uIslam, sijui kwa dini zingine kama mwanamke hatoshelezwi kimapenzi na mumewe anaweza kumwacha?

Zamu siku ngapi ngapi?
 

maelezo mengi, in short mbona hao wanawake mnao wao wanakuwa kama Chui na Kondoo, maadui wa kuuana, na ushahidi mwingi,
tena wana gombana hata kutaka kutoana roho, Ndoa nyingi na ushahidi upo, so unaona mke wa kwanza hamjakubaliana,
 
Kuoa wake wengi:
1. Kuwa na manpower ya kutosha - kama mume ana mashamba au miradi inayohitaji nguvu kubwa
2. Ufusika! Full stop!

:A S 41::A S 41::A S 41::clap2::clap2::clap2::clap2::A S thumbs_up:
 


Tatizo ni kwamba huyu wa tatu unayetaka kuongeza sababu zake nadhani ni za kimatamanio zaidi....maana kama ule msukumo wa kuoa wa pili ilikuwa ni watoto, na watoto mshapata,haya huyu wa tatu ni wa nini au yale mambo yetu ya mathna,thulatha wa rubaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…