Wana JF, madhara ya Kupakata Laptop huku ukifanya kazi kwa mda mrefu je

Msandawe Halisi

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
647
Reaction score
351
Inapunguza nguvu za kiume na mpaka kufikia nyoka kuwa nyoka wa kibisa (hana madhara). Kama ni kweli, naomba kufahamu madhara wapatayo wanawake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…