Msandawe Halisi
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 647
- 351
Inawezekana ni kweli maana uwezo wangu umepungua kutoka vinne hadi kimoja cha wasiwasi. Hawa wazungu wabaya sana , kwa nini wanaiita laptop?
Hahahahah pole aseeee kuwa makin na wife asije kutafutia helper lol
kama ulijua vile. Na nafikiri keshapata, maana siku hizi halalamiki tena. Sijui niwagandishe siku moja?
Inawezekana ni kweli maana uwezo wangu umepungua kutoka vinne hadi kimoja cha wasiwasi. Hawa wazungu wabaya sana , kwa nini wanaiita laptop?
kocha akishuka kiwango cha ufundishaji timu ikiwa inafungwa au kutoa sare nyingi anatimuliwa kibarua. uwe mwangalifu kijana your wife asije akakufungushia vilago ukamfuata Di Mateo!!