platoon commander
Member
- Jun 16, 2019
- 14
- 18
Asante kaka tayari nimeshakaribiaKaribu saana mkuu, jisikie upo nyumban tena chumbani
Pitia kwenye avatar hapo juu kiongozi wanguKaribu sana, tunaomba picha yako tukufaham zaid
Pitia kwenye avatar hapo juu kiongozi wangu
Asante sana kamanda kwa ukarimu wako hope hata wengine watanipokea kama ulivyonipokea weweKaribu sana kamanda,
Binafsi nimepokea ombi lako sijui wadau wengine,
Lol.
Ni mimi mbona umenitilia mashaka?Hapan huyo sio ww
Worry not mkuu l will respond to all with love, kindness and respect. But asante kwa ushauri pia.Jf Kama Dar tu ilivyo. Kuna ushuani na uswazini, Kuna vichochoro hadi fly over, Kuna wasomi na makanjanja, Kuna haters na lovers, Kuna walio real na fake. Kuna watakaokujua kuliko unavyojijua bila kuwasahau mahakimu wa comments na michango yako, usijisikie vibaya wakija fukua makaburi yako
Nimekuja kujumuika kama mwana JF kwa lengo la kujifunza, kupata ushauri, ujuzi na maarifa, marafiki wapya, kushiriki mijadala ya hapa jukwaani na mambo mengine kadha wa kadha kama itakavyofaaUnakuja humu kufanya nini?
Kabla hujajumuika humu ulikuwa hujifunzi huko kwingine na kwanini hujaendelea kuwa tu msomaji hadi uwe member?Nimekuja kujumuika kama mwana JF kwa lengo la kujifunza, kupata ushauri, ujuzi na maarifa, marafiki wapya, kushiriki mijadala ya hapa jukwaani na mambo mengine kadha wa kadha kama itakavyofaa
Okay, nimeamua kujisajili kama member ili nipate kibali cha kushiriki mijadala inayokuwa inaendelea humu kitu ambacho mwanzoni sikuweza nilipokuwa napita kama msomaji/mgeni.Kabla hujajumuika humu ulikuwa hujifunzi huko kwingine na kwanini hujaendelea kuwa tu msomaji hadi uwe member?
Kama wewe siyo mtu mbaya tunayemdhania nisamehe Mkuu.Mbona umeenda mbali hivyo kiongozi, kusema mna roho nzuri ilikuwa ni imani yangu kwenu na mpaka sasa imeshajidhihirisha ndiyo maana mmeitikia wito wangu wa kuwaomba mnipokee hivyo sioni kama kuna ubaya wowote hapo.
Ila siku hazifananiNi mara yangu ya kwanza kujiunga na JF wala sina wasi wasi yoyote najua wanajukwaa ni watu wastaarabu na wakarimu hivyo mtanionyesha ushirikiano wa hali na mali.
Sina mengi ya kusema ila naamini kwa hayo machache mtanipokea na kunitambua kama mwanajukwaa mwenzenu. Je wangapi mko tayari kunipokea mimi kama mwana JF mwenzenu?? Ningependa kusikia mrejesho wenu juu ya ombi langu.