Wana JF mnapatikana Dar pekee ama

lwamu

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2015
Posts
927
Reaction score
1,075
Wakuu,
Nipo naelekea tarime kwenye basi la Zakaria air bus kutokea Mwanza lakin najikuta pekee ndo natumia app ya JamiiForums...!!
Swali ni...je watumiaji wengi wa JF ni wa kutokea bongo(Dar)ama mi ndo siwaoni...(nimejitahidi kuangalia wote wenye simu hasa smartphone sioni kama wame login JF....wengi naona ni FB na Instagram ama Whatsapp...
Tufahamiane wakuu
 
Hahaha!!!!seat no.ngapi mkuu....sioni member humu ndani!!!
 
Kwahiyo ulisimama kuwakagua abiria wote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…