vfsuccessfully
Senior Member
- Jul 16, 2017
- 180
- 64
Wizara ya ardhi wameuza sana viwanja feki. Kiwwnja kimoja mnauziwa watu 9 Na wote mnapewa documents halali. Je kiwanja chako kimepimwa, kina ukubwa gani, kina document gani, kiko wapi?Habari zenu wana JF..
Nimepatwa na uitaji wa pesa ya kiasi cha Tsh 1.7mil kwa mwenye uwezo wa kunisaidia hiyo pesa dhamana ni kiwanja...
Number yangu ni 0656143546. Asanteni..
Sawa subili wanakujakusomea
Habari zenu wana JF..
Nimepatwa na uitaji wa pesa ya kiasi cha Tsh 1.7mil kwa mwenye uwezo wa kunisaidia hiyo pesa dhamana ni kiwanja...
Number yangu ni 0656143546. Asanteni..
Well said mkuu,.wazee wa baadae sijui tutakuwaje aisee.Post hii ina jambo kubwa la kujifunza juu ya uelewa wa rika la sasa. kila kitu wanachukulia simple sana.
Yahani mtu anaomba mkopo wa 1.7M kwa kuandka sentesi sita tu na kuweka namba ya simu akiamini yupo mtu atajitokeza kumpatia mkopo.(hata kama yupo) tena ukute kila mara anatzama mhamara katika simu kama kuna aliyemtumia
Vijana wengi wameharibiwa na mapokeo ya kidunia na usasa. Mtakufa na tai shingoni.
kama kweli una shida hapa ilibidi uandike mawazo mawili moja likuwa ni matumizi ya hizo fedha na namna ya kurejesha na pili juu ya hiyo dhamana yako. proposal hizo mtu akipitia ataona mantiki na kukusaidia.
Lakini kwa utani huu utasubiri sana
Niuzie mm hicho kiwanja upate hela unayo itajia.kiwanja kipo kibaha maili moja 25 kwa 25