Wana jf msaada wenu naomba jamani natafuta kazi ya secretary.

SIR.NOM

Member
Joined
Sep 8, 2012
Posts
78
Reaction score
24
Elimu yangu ni ya kid.cha 4 ila nina uzoefu ucopungua miaka 5.Naish DAR.
 
mie najua mtu anatafuta secretary ila ndo kaanzisha ofc kwahiyo bado hajakomaa salary laki 2, kama upo tayari ni pm
 
fresh mdau 2wacliane km vp my namba z.0768228904 or 0718228904
 
Back
Top Bottom