Wana jf msaidieni huyu mama.

Joined
Jul 13, 2011
Posts
64
Reaction score
8
Mimi ninalafiki yangu ambae nijilani yangu, kama nyumba ya 5 kutoka kwetu ktk maongezi alinieleza matatizo yake. Ni mmama mwenye watoto wawili(26) anatatizo lakutoka damu wakati wa kujamiiana na huacha kutoka iwapo ataachakujamiana. Na hili tatizo lilimuanza 2! Baada mwaka 1 kabla hajajifungua mwanae wakwanza,naalimueleza mumewa akamwambia yawezekana mizim ya kwao imemkataa!.naalivyo enda hospital akaambiwa asijamiane ndan ya miezi 6 lakin bado hali inaendelea. Je tatizo linaweza kuwa ninini?..
 
Ingepelekwa kwenye JF Doctor wapo wataalam kina RIWA watatoa msaada
 
akaonane na doctor specialist wa wanawake huko atapata msaada zaidi.
 
Yuko wapi dsm? kama dsm aende muhimbili first truck aombe appointment ya specialist yoyote wa akina mama mfano Dr kamugisha etc
 

imani zingine bana......hivi hayo mambo hapo nilipobold bado huwa yanaexist?.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…