Yuyo Ahumile Shamalendi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2018
- 993
- 785
Habari wana JF, natumai muwazima afya,
Moja kwa moja kwenye mada, kama kichwa cha habari kilivojieleza hapo juu,
Nimepata matatizo huko nyumbani shida yangu nilikua naomba wasamaria wema wa JF mnikopeshe tsh 400,000/= ambazo tutalipana mwezi wa saba kwa makubaliano maalumu, na ikitakiwa dhamana niko tayari.
Nakaribisha maswali yenu na maoni yenu.