Yuyo Ahumile Shamalendi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2018
- 993
- 785
Wapo, hapa nilipo nipokuhangaikia swala hilo hilo, ila si unajua maana ya kuhangaika, najaribu kila mahali ili tu nifanikishe na nikifanikiwa huku nitarejesha mrejesho.samahani kama nakukwaza.. huna majirani, ndugu wafanyakazi wenzako wa kuanza nao
Nipo Tanga mkuu.kwani upo mkoa gani
Nije pm?Njoo sandukuni
Dhamana unaweka nini ?Habari wana jf natumai muwazima afya,moja kwa moja kwenye mada, kama kichwa cha habari kilivojieleza hapo juu, nimepata matatizo huko nyumbani shida yangu nilikua naomba wasamaria wema wa jf mnikopeshe tsh 400,000/= ambazo tutalipana mwezi wa saba kwa makubaliano maalumu, na ikitakiwa dhamana niko tayari, nakaribisha maswali yenu na maoni yenu.
swali zuri sanaDhamana unaweka nini ?
Wapi huko mkuu?Kuna jamaa yangu anaweza kukusaidia nimeongea naye akasema niende nimuone ana kwa ana. Tuma nauri nimwendee elf kumi naenda na kurudi.
Tutakavokua tumekubaliana hata nyumba nipo radhi kuweka bond mkuu.Dhamana unaweka nini ?
Ndugu watu tunatofautiana.Nikifikiria kumkopesha mtu hela naona ni heri nimsaidie kama uwezo ninao kuliko kumkopesha,nimevunja urafiki na jamaa zangu sababu ya haya mambo
Nimekuja pm mkuu sioni jibu.Njoo pm nitumie kitambulisho chako kwanza
Huyo tapeliWapi huko mkuu?
Mh! kazi ipo.Huyo tapeli