Y Yuyo Ahumile Shamalendi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2018 Posts 993 Reaction score 785 May 10, 2018 Thread starter #41 Mrejesho, Wakuu niseme tu nashukuru sana kwa ushirikiano wenu, kwa kunitia moyo, kwa maoni yenu na ushauri wenu, nimefanikiwa kukamlisha zoezi langu, nawashukuruni sana wote mlionishauri na kunitia moyo, "NAFUNGA MJADALA".
Mrejesho, Wakuu niseme tu nashukuru sana kwa ushirikiano wenu, kwa kunitia moyo, kwa maoni yenu na ushauri wenu, nimefanikiwa kukamlisha zoezi langu, nawashukuruni sana wote mlionishauri na kunitia moyo, "NAFUNGA MJADALA".