wana JF na wageni!!! Baada ya miaka 8 ya ban, nimekuja id hii

Joined
Nov 4, 2014
Posts
25
Reaction score
3
Miaka ya 2006,nilipigwa ban kwa kosa la mdau moja kuingia akaunti yangu na kuhusisha mtu mmoja humu ndani na kigogo mmoja wa serikali, ila leo nimerudi rasmi tena, hi kwa ndugu Invisible na moderators wenye roho kutu wengine hili ni Fuvu la kichwa!!!
 
Last edited by a moderator:

mmmh nahisi unataka kujikubwisha wewe sema tu mgeni nimekuja au sema ulikua unatumia id ipi
 
Last edited by a moderator:
Ilikuaje hadi mtu akaingia kwenye account yako?Ila unaonekana ulifanya kosa kubwa yani miaka yote hiyo?Kweli hapana chezea jf rules
 
Nimerudi kama mandela,nina upendo,mnyenyekevu, mvumilivu na mpole kiasi kipindi kile sina mke sasa nna mke na watoto watatu!! JF imebadilika sana pongeza kwa melo Invisible et al
 
Last edited by a moderator:
Karibu tena JF mgeni mwenyeji...

ID yako nyingine ukiwa kifungoni ni ipi?
 
Pole sana. Karibu JF mkongwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…