Wana jf,naomba kujua kuhusu joslin

Wana jf,naomba kujua kuhusu joslin

EZZ CHEZZ

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
1,230
Reaction score
1,352
joslin mchalla ni miongoni mwa wasanii wachache wa muziki wa kizazi kipya kwa hapa nyumbani waliopata kuimba nyimbo zenye kuelimisha na zenye kuigusa jamii,na hasa juu ya ukimwi.sijamsikia kwa muda mrefu sasa.yeyote anayefahamu kuhusu huyu jamaa tafadhali,ikibidi contact zake.thanks
 
Back
Top Bottom