Kila MTOTO bila kujali jinsia yake ana haki na mali ya wazazi wake (nadhani unafahamu maana ya mtoto). Nje ya hapo (nje ya sheria za dini na kimila) mtu ana haki ya kumrithisha yeyote mali yake, so usije shangaa mtu una miaka zaidi ya 18 baba yako anaandika wosia haumo. Asipoacha wosia huwa ni makubaliano ya ndugu tu ambao huteua msimamizi