Wana JF Naomba Muijaribu Hii Forum ya Ujuzishare

musabuze

Member
Joined
May 25, 2018
Posts
30
Reaction score
25
Nimefanya Jaribio la Kuunda Forum Ya Ujuzishare
BONYEZA HII LINK HAPA
UjuziShare
Ni Forum ya kushare ujuzi alionao mtu katika vipengele mbalimbali na naomba muijaribu katika mambo yafuatayo
-Kuregister na Kulogin (Haihitaji Activation)
-Kucreate Thread
-Reply Thread
-Edit Profile
Na Vinginevyo Utakavyojisikia

Users 5 wa mwanzo watakuwa moderators
Baada ya hapo utacomment,kushauri au kupendekeza vitu vya kuboresha maana lengo la kufanya hivi ni Kujifunza Forum Creation ili Tuweze kuwa na kitu Kikubwa Baadaye kama ilivyo JF na Platform zingine kama Hizo
 

Attachments

  • Capture.JPG
    38.2 KB · Views: 6
  • Capture1.JPG
    33.7 KB · Views: 5
  • Capture2.JPG
    43.1 KB · Views: 5
  • Capture3.JPG
    40.6 KB · Views: 6
Hongera mkuu kwa innovation.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makubwa

Najua ni nje ya mada lakini umeicheki avatar yangu mkuu?
 
I thought I saw it all

Najua ni nje ya mada lakini umeicheki avatar yangu mkuu?
 
It was a trial to Understand Forum Creation principles ndio maana nikaona nishee huu uzi nione function za users mbalimbali na moderators ktk forum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…