Arnold Ndosi
Member
- Aug 14, 2012
- 65
- 3
Mimi Ndo Ninaenda Kujiunga Na Chuo Kik8,udsm Mwaka Huu.kuna Rafiki Yangu M1 Ameniambia Kwamba Eti, Kabla Ya Mambo Yote Kuna Form Nyingne Inapaswa 2download Kutoka Kwenya Website Ya Chuo ambayo itapasa ipagwe sign na daktari nk.je ni kweli?na kama ni kweli nitaipataje na inaitwaje? naombeni msaada wenu dada na kaka zangu wapendwa.........si mnajua tena 1year tuna mchecheto kama watoto waendao kuanza kidato cha kwanza!!!