msaidimahadhi
Member
- Aug 6, 2014
- 12
- 1
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24. Nitahitaji kuanzisha biashara yangu ya duka la nguo. lakini huku kwetu ni washirikina sana.na mimi sihitaji kjihusisha na ushirikina na hata biashara yangu kuihusidha na ushirikinaa..pili naogopa na ule mchezo wa chuma ulete.nifanyaje niweze kujikomboaaa??