msaidimahadhi
Member
- Aug 6, 2014
- 12
- 1
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24. Nitahitaji kuanzisha biashara yangu ya duka la nguo. lakini huku kwetu ni washirikina sana.na mimi sihitaji kjihusisha na ushirikina na hata biashara yangu kuihusidha na ushirikinaa..pili naogopa na ule mchezo wa chuma ulete.nifanyaje niweze kujikomboaaa??
Kwenu wapi huko?

Muslim? If so usiogpe. Mtaje Allah kila baada ya sala ya fardhi, usisahau kuzisoma zile sura tatu za kujikinga na uchawi na malizia na Ayatu kursiy. Lala na amka na dua. Lala na udhu na mali yako penda sana kutoa sadaka kwa wahitaji. Kushney.Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24. Nitahitaji kuanzisha biashara yangu ya duka la nguo. lakini huku kwetu ni washirikina sana.na mimi sihitaji kjihusisha na ushirikina na hata biashara yangu kuihusidha na ushirikinaa..pili naogopa na ule mchezo wa chuma ulete.nifanyaje niweze kujikomboaaa??
Muslim? If so usiogpe. Mtaje Allah kila baada ya sala ya fardhi, usisahau kuzisoma zile sura tatu za kujikinga na uchawi na malizia na Ayatu kursiy. Lala na amka na dua. Lala na udhu na mali yako penda sana kutoa sadaka kwa wahitaji. Kushney.
Usikubali kujikinga na ushirikina kwa ushirikina. Ni haramu na pia ni kujiondosha mwenyewe kwenye imani yako ya uislamu kwani mshirikina ni KAFIRI kwa mujibu wa mafundisho sahihi ya uislamu hata awe kiongozi wa dini isipokuwa tu kama atatubu.
Kila la kheri.