CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Na hitaji kuanzisha mgahawa wa kuuza chakula huku Arusha nilikua naomba ushauri wa wazoefu wa hii biashara. Nitashukuru sana wana JF
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi sio mzoefu ila cha msingi ni upate wapishi wazuri na wahudumu wawe wamechangamka. Ukubali kumwaga chakula pale inapobidi (hasara). Bei itategemea na wateja uliolenga ila unaweza kuwa na bei tofauti tofauti kutokana na aina chakula. Usafi ni muhimu sana kwenye mgahawa wako.