mimi sio mzoefu ila cha msingi ni upate wapishi wazuri na wahudumu wawe wamechangamka. Ukubali kumwaga chakula pale inapobidi (hasara). Bei itategemea na wateja uliolenga ila unaweza kuwa na bei tofauti tofauti kutokana na aina chakula. Usafi ni muhimu sana kwenye mgahawa wako.