wana jf nawaomba msaada nini vifaranga vya miezi mingapi ili nifuge

wana jf nawaomba msaada nini vifaranga vya miezi mingapi ili nifuge


Bila shaka rnaluyaga umemaanisha " ununue vifaranga vya miezi mingapi ili ufuge" ila melezo yako haya jajitosheleza. Kwa maana huja taja ina ya ya kuku unao taka kufuga (Kieyeji au Kisasa).

Mimi binafsi nitashukuru wadau wakinisaidia ushauri wa kuku a kienyeji zaidi ( Vifaranga vya miezi mingapi havina usumbufu kuanza navyo).
Natanguliza Shukran !
 
wote nawashauri mpitie nyuzi za ufugaji kuku za Dr Amani Ng'oma na Kubota nk. Kutokana na maelezo hayo ndo muamue muanze na umri gani. Kama unajifunza boraa uanze na wa miezi mitatu wana manyoya, chanjo zote na waweza wapa vyakula vya ziada. Karibuni
 
Back
Top Bottom