Nimenunua jumamosi tar 22/12/2011 USB TV/AV Combo tuner with FM radio, CD ya drivers ni ya 32 bit windows na mimi natumia 64 bit windows 7. Naomba kama kuna mtu anatjua wapi naweza kudownload drivers for 64 bits windows au nifanye nini ili niweze kuitumia tuner yangu. Natanguliza shukrani zangu kwenu nyote wana JF.