The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Nimekuwa najiuliza hili swali....
je wana jf walio wengi ni wasafi zaidi kimatendo au ni unafiki humu ndo unatawala????
mfano mtu akipost thread inayohusisha na kutoka nje ya ndoa....
asilimia 95 ya wana jf watamponda sana na kumlaumu kuliko
watakaomsaidia as if hao wanaoponda ni wasafi sana.....
mfano mwingine ni thread zinazohusu waganga wa kienyeji....
kila mtu humu ndani ataponda hadi mwisho maswala ya waganga wa kienyeji
cha ajabu ni kuwa kama wana jf ni sehemu ya watanzania...
na watanzania sasa hivi inasemekana ndio tunaongoza duniani kwa imani a kishirikina na mpaka kuwa nchi inayoongoza kwa duniani kwa kuuwa albino na vikongwe kwa ushirikina.......je kama wana jf wote ni wasafi......
hao wanao shiriki ushirikina ni kina nani?
mimi siamini kama watu humu ni wakweli,mimi naona kama unafiki ndo unatawala...
ushauri wangu badala ya kuwashutumu na kuwaponda watu
wanaokuja kukiri matatizo yao humu...ni vizuri tukawa kwanza tuna wa incourage
hao watu na wengine wakawa more open ili tuweze jifunza wote kwa pamoja...
TUACHE KUSHUTUMU NA KUPONDA WATU WANAPO CONFESS HAPA....
tuache unafiki.....
BOSS.