wana JF niambieni kuhusu JKT

aikaruwa1983

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2011
Posts
1,398
Reaction score
1,500
jamani wana JF nimesikia JKT wametoa nafasi hivi ni kweli.........
 
Kuhusu JKT nikwamba kulikuwa na wakujitolea na wamjibu washeria nailikuwa kilasiku lazima usome order naimeandikwa imezuiliwa nimarufuku kutoa habari za jeshi nje!!Nimarufuku kwenda jikoni kabla ya mda wa chungulia pipa!Mpaka hapo tumekueleza kuhusu JKT
 

duh....hebu nyambua maneno yako inawezekana uko sawa ila mm sijakuekewa......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…