Mzee wa Rula JF-Expert Member Joined Oct 6, 2010 Posts 8,169 Reaction score 3,351 Nov 2, 2010 #1 Jamaani naombeni wenye data kamili mnijuze kuhusu hali ya mgombea wa jimbo la Same Mashariki Anna Kilango Malecela kama kashinda au la?
Jamaani naombeni wenye data kamili mnijuze kuhusu hali ya mgombea wa jimbo la Same Mashariki Anna Kilango Malecela kama kashinda au la?
KakaKiiza JF-Expert Member Joined Feb 16, 2010 Posts 11,794 Reaction score 9,075 Nov 2, 2010 #2 Inasemekana kashindwa!kwa msaada wa watu wamarekani google!
Mzee wa Rula JF-Expert Member Joined Oct 6, 2010 Posts 8,169 Reaction score 3,351 Nov 2, 2010 Thread starter #3 KakaKiiza said: Inasemekana kashindwa!kwa msaada wa watu wamarekani google! Click to expand... Hapo sijaelewa maneno ambayo nimeyabold. Niweke bayana kama una data za kura zilikuwaje?
KakaKiiza said: Inasemekana kashindwa!kwa msaada wa watu wamarekani google! Click to expand... Hapo sijaelewa maneno ambayo nimeyabold. Niweke bayana kama una data za kura zilikuwaje?