Nimekupata vema lakini, hilo linawezekana ila nacho omba uonyeshe hapo ni salary statement when other factors considered. au unaonaje coz siwezi mtoa mtu huko pasipo kujua benefits zake.....
Tangazo lako halijakamilika. Elezea mshahara, na mazingira ya kazi yakoje. Kazi gani hasa atakuwa anafanya, fafanua kama kuna watoto wadogo atakaokuwa anawahudumia. Kutakuwa na likizo? Siku za kupumzika? Huduma za matibabu je?