hakuna laptop yenye jina hilo,nimecheck kwenye site ya hp
Anyway sina comment juu ya hilo, lakini kumbuka nina hakika na ninachokiandika hapa. Nimetoa P/N kurahisisha zoezi kwa yule ambae anaweza kunisaidia. HP kuwa zipo kwa series, for that reason Yangu ipo kwenye dv6500, na ukienda specifically product number ya machine yangu ndiyo hii dv6645el.hakuna laptop yenye jina hilo,nimecheck kwenye site ya hp
Pamoja na uchanga wako humu kwenye JF, bado huwa natambua michango yako...ila kwa hili....nadhani umedhihirisha utoto wako kwa umri hasaaaaa.Nakushauri uipeleke kwa fundi redio wa mwembeni atakusaidia
Hiyo laptop ndio hii hapa? https://www.jamiiforums.com/busines...uza-kiwanja-nyumba-kigamboni.html#post1946961 Ungeweka kule kwenye technolojia wangekusaidia.Habari wana JF. Jamani Laptop yangu ina tatizo la sound, naombeni msaada wataalam wa IT/Computer Science. Nimeshahangaika nayo sana, HP website nimecheck drivers hazipo ambazo ni compatible na laptop yangu.
Details:
Laptop: HP Pavilion dv6645el Entertainment Notebook PC
OS: Window 7 (Baada ya kuondoa Vista iliyokuja na machine)
Jamani Nisaidieni tafadhari.
Nakushauri uipeleke kwa fundi redio wa mwembeni atakusaidia
Nakushauri uipeleke kwa fundi redio wa mwembeni atakusaidia