Habari zenu, kabla ya yote napenda kuwapongeza wana JF wote kwa mchango wenu ambao mmekuwa mnaotoa kupitia humu JF. Mimi tatizo langu kubwa linalonisumbua kifupi tu mi nikijana mwenye umri wa miaka 25 (sijaowa) tatizo langu jogoo langu nikubwa mno kiasi kwamba mpaka imekuwa kero yani mpaka nakosa raha nimeshakimbiwa na wapenzi wengi sana. Nimejaribu kuomba ushauri kwa wa2 kuna mzee alinishauri nitafute mwanamke ambaye ana shimo kubwa (mwenye uke mkubwa) akanishauri nitafute wa2 wa mkoa wa Kagera(wahaya) ndo ntawezana nao kwa bahati nzuri nikabahatika kumpata huyo binti wa kihaya lakini cha ajabu nilipotembea nae siku 1 tu cku hiyo huyo binti alitoka nje anapiga mayowe. Yani cwafiji hapa mtaani kwe2 nimekuwa gumzo kwa wanawake kiasi kwamba mabinti wote wananiogopa imefikia ha2a najiuliza kwanini Mungu aliniumba? ndugu wana Jf wote, naombeni mnisaidie mwenzenu nateseka swali langu je kuna dawa ambayo inapunguza maumbile? Kama kuna yoyote ambaye anaweza kunisaidia ntashukuru sana. Nawakilisha kwenu.......