:bored: Natumai ni wazima. Jamani wana jf mwenzenu nimetafuta kazi kiasi kwamba nahisi hadi kukata tamaa. Nina bachelor degree ya regional development planning, pia nina masters ya business administration - corporate management. please jamani nisaidieni nawaomba. Nahitaji sana kufanya kazi ili nitumie ujuzi wangu kuliko nilivyokaa tu nyumbani. Namba yangu 0713233073 kwa ambaye yupo tayari kunisaidia katika hili suala la kazi
duh, sisi wenye vi-bachelor sijui itakuwaje..................
pole bab... kwa nini usitumie huo ujuzi kujiajiri...?
lakini kabla ya kujiajiri au kuanza small business ask your self
a) Do i have what it takes to run my own business?
- ask ur self these sub questions
1) do u enjoy tackling new projects?
2) do u take the initiatives or do you usually wait for some one to tell you what to do?
3) do u like people
4) are u well organized
5)do u stick with things or do you get discouraged easly?
6) can you visualize your self at the helm of your own bussiness?
7) do you have a lot of energy
8)do you keep going even when things are crashing around you?
kama jibu lako ni YES more than half of those qns u can start your own small bussiness
b) Ask your self how can i use the skills i hv got to start my own business...?
jiulize haya maswali-
1) are my skills transferable to a service or manufacturing business " sahau biashara ya kuuza na kununua"
2)do i need additional training..?
3)do i need partner whose skills complete mine..?
4)would it be easy to promote my talents to the public..?
kama jibu lako no then you should not consider setting on ur own.
mkuu usisubiri kuajiriwa >>>> watu wengi wana succeed on small business
duh, sisi wenye vi-bachelor sijui itakuwaje..................