Sasa dogo kama huna uwezo wakulea wengine zaidi ya mke wako si lea mke wako tu kelele za nini tena...Au unataka tukujuwe kama wewe ni kichaa :biggrin:Sasa aliyesema huwa 2napenda kulea wa2 ambao c wake ze2 nani.
If you ain't got no money keep your broke A double S home!!!
Naelewa kuwa mna mahitaji ambayo kidogo yamepita ye2.
Naelewa pia kuwa kila m2 anatakiwa awazie kwa maisha yake jinsi gani atakavyojipatia mahitajiyake.
Ila sasa naona ndugu zangu mna tamaa 2much hadi mnaboaa! Yani ukiwa na uhusiano na a guy hata kama cyo wa mapenzi, unataka akulee. Sasa aliyesema huwa 2napenda kulea wa2 ambao c wake ze2 nani. Its ridiculous! M2 u jst want 2b ha friend anachowaza ni kukuomba vocha na pesa 2! We r ppo not atm machines!
Young moolaah baaaaby
Do you have a lot of money....?!!
so unaadmit huna cha kuoffer than sex na huhitaji chochote zaidi ya pesa. Sounds lyk ur a common hooker 2meLet me remind you a friend in need is a friend indeed. Kama uhusiano wenu hauna namna yeyote ya benefit haina maana. Yaani tuwe tu tunalongalonga tu kila siku bila mpango.
Kwa kweli hiyo kitu siwezi fanya.
I got racks on racks on racks
How about a dinner date this weekend then....!?
How about a dinner date this weekend then....!?
Unapenda totoz halafu hautaki kutoboka...