Naomba wana jf mnisaidie nipate kazi nina bachelor ya Wildlife Science and Conservation, nafanya kazi kwenye wilaya moja lakini wapendwa hakuna shughuli twasubiri tu mshahara kila mwisho wa mwezi. Mimi ni bint nina miaka kati 27-30, bado nina nguvu na nahitaji kuwa busy. ninauwezo wa kufanya kazi katika mazingira yeyote yale na ninauwezo wa kujifunza kitu kwa muda mfupi namaanisha hata kama kazi sio ya proffesional yangu naweza nikaifanya nikipata training ya muda mfupi.
Please i need your help
tatizo la watanzania wachache hawapendi kuwa sehemu ya mabadiliko bali wnapenda kuendeleza walichokikuta mahali husika. dada kama umesoma najua unaweza ukawachachu ya mabadiliko na kama kweli hampigi kazi wahamsishe wenzio mpige kazi ili muliletee taifa maendeleo. ILA CHONDE CHONDE MUSIUZE WANYAMA WETU.Kama una uwezo wa kufanya kazi popote kwanini unataka kuachana na hapo! Be the change you want to see.!