mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,771
- 4,649
ni kweli mkuu mana mesimuliwa mengi hebu nkajionee mwenyewePamoja na kuwa kwa sasa niko nje ya Tanga, lkn karibu sana mkuu.. Tatizo ni hiyo mikataba yako lol.
Ukiizoea tanga iko poa tu japo mzunguko wa hela ni mgumu kidogo! Kama ni mara ya kwanza kweli tanga tegemea kupata mambo mengi kinyume kabisa na inavyosimuliwa...!!
usihof bibie...............ukija tena next time pliiiiiiiz usisite kunijulisha nitakupa maladhi kwa ajili ya kulalaNingekupokea, umechelewa kiduchu. Nimetoka huko leo.
mtafute mzee Dark City.........
usihof bibie...............ukija tena next time pliiiiiiiz usisite kunijulisha nitakupa maladhi kwa ajili ya kulala
ahsante kaka kwa hilo usihofu.mkuu tembea na condom mfukoni kama ngao ya maisha yako. karibu lakini ukimwi upo. mia
ahsante sana Fairstlady1..................itabidi uwe mwenyeji wangu pamoja na Rejaokaribu sana mikataba feki,wenyeji tupo
ahsante kaka kwa hilo usihofu.
bibie memaanisha next time ukiwa unatoka mpwapwa kuja Tanga utakuta tayari mambo yapo sawa haya faaasta unapendelea nini CONFY,DODOMA OR VITA RAHA???????????kwahiyo wewe ni mwenyeji huko au? Mbona unatuchanganya. Lol
bibie memaanisha next time ukiwa unatoka mpwapwa kuja Tanga utakuta tayari mambo yapo sawa haya faaasta unapendelea nini CONFY,DODOMA OR VITA RAHA???????????
Kwa hilo usijali..kumbuka Tanga hamna neno NO na pia hatuna msemo KWAHERIahsante sana Fairstlady1..................itabidi uwe mwenyeji wangu pamoja na Rejao