mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,771
- 4,649
- Thread starter
-
- #21
kumbe maeneo ya Sahare usihof Preta tho sijafka kote huko si unajua bado nna kamba mguuni.usiache kunitembelea na mimi huku sahare.......
itabidi nikanunue hiyo haraka saaaana.anapenda TANFOAM
mnh hapo kwenye NO naskia ni wakarimu hadi kule chini ati............mnnnnnnnnnhhh hilo la kwaheri nitagoma sitaki kutekwa huko.Kwa hilo usijali..kumbuka Tanga hamna neno "NO" na pia hatuna msemo "KWAHERI"
MASABURI yako......................pambaaaaaaaafffff sako michezo yenu yakidavid cameroon huko hkokaribu yakhe!tena wkend ya kwanza tu twaenda wote mombasa!
MASABURI yako......................pambaaaaaaaafffff sako michezo yenu yakidavid cameroon huko hko
daaaah kaka mesimuliwa yote hayo mkuu................we ngoja tu dawa yao kumwagia uji wa moto kwenye vinyeo vyao wataacha tu.hahahhahaaaa...!!. mkuu hayo ndo utakumbana nayo huko nyakati za jioni. so kuwa makini. mia