Woyooooooo nilikuwa najua mchaga lazimaNtakua na mchagaa namba moja
Hahah!!Shem unafaa utabiri
Labda utakua unacheza hapa 32-36[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mm mtu mzima mbebez wake smart niko na 55
Hapana mkuu hiyo nimeshavuka kabisa msinirudishe nyuma jamaniLabda utakua unacheza hapa 32-36
22-27Otea tena
nilikua nakwambiaa,,, nimewekewa remote ya DSTV kwenye pochiiiUmepatia. Huyo anajua umri wangu ananichokoza tu
Tatizo wapo wachaga wawili [emoji23][emoji23][emoji23]Woyooooooo nilikuwa najua mchaga lazima
Asante kwa kujaribu.
Khaaaaa kumbe wapo wawiliTatizo wapo wachaga wawili [emoji23][emoji23][emoji23]
We sheeenzi. Haya uirudishe kabla mwanangu hajakosa cha kuchezea mscheewww.nilikua nakwambiaa,,, nimewekewa remote ya DSTV kwenye pochiii
Na watatu namuongeza soonKhaaaaa kumbe wapo wawili
hivi unajua kusoma??? kaiweka kwenye pochiii yeye labda leo hana kipindi anafatilia.We sheeenzi. Haya uirudishe kabla mwanangu hajakosa cha kuchezea mscheewww.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hizi nguvu za utabiri mngezielekeza kwwnye parfect 12 mdaa huu muhindi angekua analia kama mbwa koko[emoji23] [emoji23]
Hahaaaa. Lol.
Itakua hana kipindi. Kwahiyo umeenda nayo ofisini?hivi unajua kusoma??? kaiweka kwenye pochiii yeye labda leo hana kipindi anafatilia.
yani natafuta kituuu saa tatu hiii ndo naionaa...Itakua hana kipindi. Kwahiyo umeenda nayo ofisini?