Nmekumiss Dada angu wa hiyari,SKU hizi umenisusa kweli kweli sjui umefichwa na nini[emoji3]Duuh.
Sawa kabisa
Nami pia mdogo wangu nimekumiss sana tu. Nipo jamaani nadhani tunapishana tu.Nmekumiss Dada angu wa hiyari,SKU hizi umenisusa kweli kweli sjui umefichwa na nini[emoji3]
Uwe na asubuhi njema [emoji7] [emoji7]Nami pia mdogo wangu nimekumiss sana tu. Nipo jamaani nadhani tunapishana tu.
Ahsante sana my mdogo. Ubarikiwe. [emoji7] [emoji7]Uwe na asubuhi njema [emoji7] [emoji7]
miss youUzi kama huu ushaletwa humu mwaka jana
Mimi nabashiri umri wa Bro.wangu Mshana na miss Natafuta utakuwa 40+.wewe je?
we ni dabby nn umebadili id?Uko makini cana mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] muanzisha sredi utakuwa 50+
Avatar inakuongopeaa
Basi 20+[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Niombe radhi
H
Acha kazi ya utabiri huiwezi
Naona mambo ni....[emoji91] [emoji91] [emoji91][emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Kwa uhakika zaidi angalia profile yangu
Umechoma hadi kwenye mfupa.... tehteehhh
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Nimepatiaeee[emoji4]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] ila hujaweka ukomo... Jaribu nikupatie maksi zako
Mhhhh.....[emoji15] [emoji15]Bujibuji na Gentamycine nahic ni wahenga wa toleo jipya yaan 55+
Akichomoka humo ulipo taja, nipo nitaandamana bila nguo kuanzia hapa hadi magogoni...[emoji12] [emoji12][emoji23][emoji23] 35-39
[emoji23][emoji23][emoji23]Akichomoka humo ulipo taja, nipo nitaandamana bila nguo kuanzia hapa hadi magogoni...[emoji12] [emoji12]
Nidai Savannah za baridi sana na dompo
[emoji23][emoji23][emoji23] weekend inaanza kesho nitakuja kuchukua [emoji2]
Kuna mtu akiona hii habari ya kukaribishana, najua lazima damu imwagike humu.... tehteehhhUsibebe mswaki wala taulo vyote vinapatikana huku[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji40]Kuna mtu akiona hii habari ya kukaribishana, najua lazima damu imwagike humu.... tehteehhh