Ndugu zangu napenda kuwaomba sana tujipange sawasawa kutoa michango yetu au maamzi yetu yaliyo muhimu na ya msingi kama alivyoelekeza mheheshimiwa Rais JK kwamba tusiburuzwe na makundi yasiyofaa hususan kama yale yaliyofunga ndoa ya mkeka, ambayo Wana JF wote mnayafahamu yalienda Ikulu kunywa chai, walipotoka kushiba na ndoa ikavunjika, sasa yanasiginana menyewe kwa menyewe hadi Mahakamani. Makuna hayo yanasifa ya kuendesha siasa zake kwa Matukio; mfano, mara Kapuya kabaka, mara wanafunzi wamefeli, mara mawaziri wajiuzuru, mara tembo wanaisha. Makundi haya hudhani matukio ndiyo Sera. (mambo hayo!), Hamjawasoma hao?.