Wana JF tujumuike

Mkuu wa chuo

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2011
Posts
7,620
Reaction score
5,335
Inatupasa wana JF wote kujumuika na kuweka tofauti zetu kando na kwenda kuishabikia Manchester united itakapokwaana na Stoke city katika dimba la old traford mida ya saa tano usiku kwa saa za Afrika ya mashariki! Mi ndo naanza kuelekea mida hii!
 
magoli yaliyofungwa la kwanza limefungwa na Chicharito
 
yote magoli ya Manchester yamefungwa kupitia mikwaju ya penati
 
inabidi tuendelee kuweka tofauti zetu kando na kuendelea kuishabikia Manchester United!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…