Wana JF tupendane jamani, sisi ni familia moja

Wana JF tupendane jamani, sisi ni familia moja

44mg44

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2019
Posts
2,158
Reaction score
2,186
Hasa hasa wanawake wa humu nawaomba sana mzidishe upendo kwa sis wanaume wa humu.

Ikitokea mwanaume wa humu kampenda binti wa humu apewe tunda haraka sana bila chenga chenga. Wanawake wa humu acheni kutubania k sis ni familia moja hatupaswi kunyimana! Sasa wanaume wa humu mnataka wakaoe wapi sasa kama mnawabania mbususu?

Wanawake mnachelewesha maendeleo, maana mnatubania sis ndugu zenu.

Kama mnachakujitetea njooni mjitetee na mjibu hoja zfuatazo:

a/ Kwanini hamtaki kuwapa watu wa JamiiForums?
b/ Kwanini hamtak kuolewa na Wana JF?
c/ Kwanini hamuon kuwa JF Ni mahari sahihi pa kupata mwenza Bora?
 
Wewe ndiyo utasababisha wanawake wa hapa waache kabisa kuwabless wadau nyondi (mbususu).
 
Back
Top Bottom