KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Nawatakieni Watanzania wenzangu na wana JF wote heri ya mwaka mpya wa 2016...Habari zenu wana jukwaa wenzangu popote pale mlipo......yakiwa yamebaki masaa machache tuukaribishe mwaka mpya...wa 2016.....KILA MMOJA WETU ana shauku ya kuufika na kuuona huu mwaka mpya ulio mbele yetu....lakini bado anabakia kuwa ni MUNGU pekee ndio mwenye kuamua hilo kwa maaana hakuna ajuaye saa wala dakika ya kuondoka hapa duniani......
Hivyo basi ningependa kuchukua nafasi hii niliyoipata wakati nikiwa bado napumua na ni mzima wa afya kutangulia kuwatakia kheri na fanaka wa mwaka mpyaa......
Nawatakia heri ya mwaka mpya wote jfHabari zenu wana jukwaa wenzangu popote pale mlipo......yakiwa yamebaki masaa machache tuukaribishe mwaka mpya...wa 2016.....KILA MMOJA WETU ana shauku ya kuufika na kuuona huu mwaka mpya ulio mbele yetu....lakini bado anabakia kuwa ni MUNGU pekee ndio mwenye kuamua hilo kwa maaana hakuna ajuaye saa wala dakika ya kuondoka hapa duniani......
Hivyo basi ningependa kuchukua nafasi hii niliyoipata wakati nikiwa bado napumua na ni mzima wa afya kutangulia kuwatakia kheri na fanaka wa mwaka mpyaa......
Nakutakia heri ya mwaka mpya. My brother @peterchokanakutakia heri ya mwaka mpya ndugu @KikulachoChako bila kumsahau dada yangu wa dhati kabisa @habari ya hapa, endapo tutavuka salama basi uwe mwaka wa baraka sana, bila kumsahau mwanangu mwenyewe @Th Name @ibra87, kaka mkubwa @mshana jr, watu wangu wa nguvu @Jimena @bennie369 @areta @einstien newton, bila kumsahau dada lake @nifah, BLESSED
the same to you buddy!Nakutakia heri ya mwaka mpya. My brother @peterchoka