ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Mimi nafikiri siku zote katika maisha yetu tuwe watu ambao tutaboresha Mambo yaliyopo au kugundua Mambo mapya ambayo dunia yote itayakubali
Watu wakubwa waliofanikiwa Kama wa kina Stephen jobs CEO wa apple au wakina bill gate ambao ubunifu wao kwenye biashara Wana ingiza hela nyingi Sana kupitia kampuni zao.lakini sio wao TU kuna watu ambao waliweza kuanzisha yoga exercise ambayo karibu dunia yote inaheshimu elimu hio na ku ipractise
So Mimi nadhani tukikaa watu wenye mitizamo Kama hiyo ya kuifanya dunia kuwa sehemu nzuri kwa miaka ya baade tunaweza kufikia lengo hilo.yako Mambo ambayo tunaweza kuyatenda na watu Waka ona Ni unbelievable kabisa.tunaweza kugundua Mambo madogo ambayo yakasaidia watu spiritual na hata katika afya zao.kinachohitajika Ni utayari wa kujifunza na kujitoa yaani tufanye Jambo Hilo bila kutanguliza tamaa ya pesa au utajiri tufanye kwa ajili ya kutupa faraja.na Sisi ambao tuna Nia hiyo tunapaswa tuonyeshe mfano yaani mtu akija kutuona abadilike bila hata ya kumfundisha.