Wana JF,
Tume ya maadili imekataa kutoa forms za maadili za viongozi mbalimbali ambao wanatuhumiwa kwa ufisadi nchini.
Mimi nashauri JF tuingie kazini na kuzitafuta hizo forms hata kama itakuwa na maana kuzinunua.
Hizi sheria wanazotunga ili kuwakingia kifua wasiumbuke, njia ya kuziua ni kutafuta njia ya kuzikiuka.
Mtu kama anaandika uwongo akijua hautajulikana basi tutumie JF kuwaumbua.
Ninaamini inawezekana kabisa kuzipata hizo forms hata kama zinalindwa na RO.
Wazee wa kazi hima hima tuelekee kazini.
Ningetaka kujua fisadi Mkapa aliandika anamiliki nini.
Wana JF,
..........
Ningetaka kujua fisadi Mkapa aliandika anamiliki nini.
Hakuna fomu yeyote!!...hakuna kitu kama hicho..labda waziandike upya!!
Kama hela...kama Mali zina kufanya uwe Mpumbavu basi utakua mpumbavu hata kwenye mambo mengine!!
hiyo Sheria iliwekwa na wajinga!!CCM...na hivyo vyama vingine hakuna kitu...mavi matupu!!

Wazo ni zuri sana,ila Sheria ya Maadili ya uongozi wa umma ni ngumu sana,na sidhani kama ni rahisi kuzipata,na wakati mwingine huwa nafikiria kama sheria iko hivi ni bora hapa hii tume ifutwe.Wana JF,
Tume ya maadili imekataa kutoa forms za maadili za viongozi mbalimbali ambao wanatuhumiwa kwa ufisadi nchini.
Mimi nashauri JF tuingie kazini na kuzitafuta hizo forms hata kama itakuwa na maana kuzinunua.
Hizi sheria wanazotunga ili kuwakingia kifua wasiumbuke, njia ya kuziua ni kutafuta njia ya kuzikiuka.
Mtu kama anaandika uwongo akijua hautajulikana basi tutumie JF kuwaumbua.
Ninaamini inawezekana kabisa kuzipata hizo forms hata kama zinalindwa na RO.
Wazee wa kazi hima hima tuelekee kazini.
Ningetaka kujua fisadi Mkapa aliandika anamiliki nini.
Wazo ni zuri sana,ila Sheria ya Maadili ya uongozi wa umma ni ngumu sana,na sidhani kama ni rahisi kuzipata,na wakati mwingine huwa nafikiria kama sheria iko hivi ni bora hapa hii tume ifutwe.