Wana jf vitambulisho vya kitaifa mchakato wake umefikia wapi maana uchaguzi huu hapa. Nani anaaupdat

Wana jf vitambulisho vya kitaifa mchakato wake umefikia wapi maana uchaguzi huu hapa. Nani anaaupdat

mkuu uko usingizin ama uko bar?,vitambulisho vya taifa na uchaguzi vitu viwili tofauti kabsa,mchakato unaendelea kwa dar sasa ni mda wa kwenda kuhakiki jina lako kwa mara ya mwisho kwenye ofisi za serikali ya mtaa wako.
 
Back
Top Bottom