Wiki iliyopita nilipata bahati ya kutembelea Arusha, pamoja na kwamba sikupata bahati ya kukutana na wana JF wa pale Arusha nilifarijika sana kwa upendo wao hasa makaribisho yaliyoonyesha kwamba ni kweli wao wako BEYOND KEYBOARDS.Bahati mbaya sana ratiba yangu ilikuwa imebana sana lakini naahidi kuja tena Arusha kwa ajili ya wana JF wa huko. Shukrani za dhati kwa wote wale walionikaribisha na hata wale walionielekeza wapi pa kwenda nikiwa Arusha.
Mh! Ngoja na mi nifanye fanye niende huko....maana kila anayetoka huko.....
Wiki iliyopita nilipata bahati ya kutembelea Arusha, pamoja na kwamba sikupata bahati ya kukutana na wana JF wa pale Arusha nilifarijika sana kwa upendo wao hasa makaribisho yaliyoonyesha kwamba ni kweli wao wako BEYOND KEYBOARDS.Bahati mbaya sana ratiba yangu ilikuwa imebana sana lakini naahidi kuja tena Arusha kwa ajili ya wana JF wa huko. Shukrani za dhati kwa wote wale walionikaribisha na hata wale walionielekeza wapi pa kwenda nikiwa Arusha.
hahahaha tme wil tel
I wil be thr sumdaY
Fidel uhakikishe unapata kibali cha kuingia maana bila hicho huwezi kuingia hapa wala hutapata makaribisho ya kutosha
Nifanyaje ili niweze kupata kibali?
Napenda sana nije Arusha nakosa mwenyeji huko.
<br />Uombe ruhusa na kibali kama sio hivyo tunafunga milango
<br /><font color="#0000CD"><font size="3"><b>Woote MNAKARIBISHWA ARUSHA, yako mambo mengi ya kufurahia ATown kutana ana wana JF ATown live, mbarikiwe!!!!!!!!!</b></font></font>
Njoo tukeshe wewe.....
mdogo wangu, andaa begi tunaenda wikendi inayokujaNa mm itabidi niende Arusha nikatoe angalau tongo tongo
Mkuu wenyeji wako wengi tuu ni kiasi cha wewe kutoa tuu taarifa kuwa unakuja
Utashangaa wakatakavyokupokea wengi na kila sehem nzuri utapelekwa
mdogo wangu, andaa begi tunaenda wikendi inayokuja