Wana JF wa Arusha asanteni sana kwa upendo wenu

<br />
<br />

Tulikusubiri sana Mkuu! Karibu tena Arusha. Ututaarifu mapema tukuoneshe kweli it is a geneva of Africa na we real mean when we say "we are beyond the keyboard!"
 
walah tena na mikate inauzwa kwa mnada na muhindi? Ukitaka hata slesi moja unapata?

Kha we mwana umenichekesha mchana huu lol! hebu punguza visa. Eti ukitaka hata slesi moja unapata mwe
 
Wageni toka nje wanafanya huku arusha ndo nyumbani. Kila kukicha wanakuja na kuondoka. Sisi tunaoishi hapa Tanzania tunaona vigumu kutembelea Mkoa huu wenye kubeba nchi yety ya Tanzania. Jamani naombeni kabla mgeni hajabutuka na kile kilichopo kwako wewe mwenyweji uwe tayari umeshaifaidi vya kutosha.

Tuitembelee Arusha na sehemu zake muhimu kama vile Ngorongoro n.k. Wengine japo ni watanzania halisi hawajawahi hata kufika Mkoa huu muhimu sana kwa Tanzania.
 
Kha we mwana umenichekesha mchana huu lol! hebu punguza visa. Eti ukitaka hata slesi moja unapata mwe
Anadai hiyo sles inaweza geuzwa kuwa sandwich
 
MusijoJR ukienda tena uwe makini na TOYO nasikia zinauwa sana...maana ndio usafiri pekee Arusha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…