Wana JF wa arusha nisaidieni

Meljons

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2012
Posts
3,105
Reaction score
1,406
plz wapi naweza kupata nafasi ya kazi shule ya sec private kwa mwalimu wa biology mwenye bachelor.
 
Kajaribu edmund rice..huwa wanalipa vzr sana.
 
Kajaribu edmund rice..huwa wanalipa vzr sana.

hajauliza mahali penye wanalipa vizuri...kauliza wapi anaweza kupata mahali pa kufundisha.
wanaweza wakawa wanalipa vizuri, lakini hawana nafasi a kufundisha kwa walimu kama huyu anayehitaji kufundisha kwa mda TU.
 
asanteni japo natafuta kufundisha kwa muda mfupi bado nahitaji malipo mazuri.
 
hajauliza mahali penye wanalipa vizuri...kauliza wapi anaweza kupata mahali pa kufundisha.
wanaweza wakawa wanalipa vizuri, lakini hawana nafasi a kufundisha kwa walimu kama huyu anayehitaji kufundisha kwa mda TU.

nishauri pengine plz ndugu yangu kama unafaham.
 
Kacheki Hapo Arusha Morden....
Me Nlienda Kuomba Juzi
Kati Wakanambia Wanataka
Wa Sayansi Na Cyo Wa Art!
 
Kacheki Hapo Arusha Morden....
Me Nlienda Kuomba Juzi
Kati Wakanambia Wanataka
Wa Sayansi Na Cyo Wa Art!

Arusha modern imeshanunuliwa na kanisa katoliki na wanafunzi wa pale nasikia wamesambazwa shule mbali mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…