afadhali kama Tf alikujali akachukua na yako maana alichukua ya preta,loner na WL tu

Kwani haujui kuwa wengi wanaambiwa pole halafu wengine wanaambiwa mbona haukusema au unataka kutapikiwa vipepeo lol!!!!
Si useme MBINYOO tu bana!hahahahahahaha jamani sweet home
umenikumbusha maeneo ya Ngaleloo baada ya kutoka Loruvani kupata ile kitu kali na kupita maeneo ya Kijenge kupata ile kitu yenyewe inaitwa dadiiiii

Babe, i love ya. i cant get you out of my head
Unamaanisha FATAKI?
Hata hivyo wewe haunywagi pombe mwaya na eka mangi asikufundishe kabisa endelea vilevile kunywa maji na juice zako kama sile ulisokunywa jusjus tu!
Derimto mbona unanichokoza lakini? wakati uisema una moyo wa kike?? Nauhofia moyo yangu bana usijeuvunja bure labda FL akawithdraw ile thread yake bana.
Mzee wa MEMKWA ......................naomba nipate lau nafasi nami nisafiri tena lol nimenogewa.
BAbu Bigirita, mzee wa tekniks maana duh njia nzima alihakikisha anamteka FL kwa malavedave........mara oh FL I love the whole of you, mara oh tuchimbe dawa duh........................
Ama kweli weupe unawapenda lakini weusi ni dawa ya roho
Muzee acha napanga kufungua Branch Arachuga ili niwe naenda at two times a week, aisee mbona haukutokea pale Moshi mjini nilijua utakuja na Kaizer

i am watching......kama kimwili ulishindwa, kwenye keyboard utaweza? stop baby-ing this babe of mine.
jamani mimi nasubiri zile number mlizosema mngetuma kwenye pm maana mpaka sasa ni kimya.ila yawezekana ni mimi tu ndio sina kutokana na upole wangu kwani TF na kimei wanazo za wadada wote wa arusha.MJ1 anazo za wakaka wote,pamoja na maty na LD.yaani mimi peke yangu ndo nasubiri mnipm.
'mmmh............kalagabao nikishtuka treni ishafika kigoma'
Mimi sijasema ni wewe umesema hivyo! Fataki ni nani tena?
Si useme MBINYOO tu bana!
Ayaaaaaaaaaaaahh basi sema taratibu watu wasisikieSi yule anayependa vitoto vya shule?
Una uhakika na maneno yako kaka maana ujanja siyo kuwahi ujanja ni kupata kuwahi hakuna neema mwenzako nimeshajibebea na mabegi nimeingia zangu moyoni mwa MJ1
We babu anajua hilo tena usiseme kwa nguvu
si wenyewe mmemwona jinsi alivyo heartbreaker eeh? sijui LD unamtumia msg za nn na kum'dipudipu' kila dakika. mi unaniboa wewe!
CRAP!au ndio anaanza kudela na gender kwanza personally ndio maana mimi nilichukua namba juu kwa juu maana niliishaona mwenyekiti anajaribu kuweka maslahi yake kwanza
Nipe jina lake PJ. Jina la kimsamiati watumialo huko porini.
wow!mtumishi bana,,nimekukosa sana tukaambiana na ze fainest labda ww na kaizer mmejenga vibanda 3 mlimani!!nahtji kuongezewa nguvu za kiroho maana kazi imekuwa ngumu usipotee sana
asa luv ws mbona hatupo watatu?