Wana JF wakutana Arusha

Status
Not open for further replies.
hahahahaa! tatizo akishakasirika anagoma kutoa risiti kwa member wapya......anachukua fees anaenda kunywea valuu

Umeona eeh...?
Bahati nzuri mi sina mpango wa kuwa member...
Mi mgeni tu kwa leo kwa kuwa Kimey kanialika...:becky:
 
habari yake freetown.............duh, umepotea mkuu!
nikupe kazi ya kunilindia wiselady?.......nita-define KULINDA baadae, maana watu wengine mkiambiwa mlinde mnafanya na ambayo hayahusiani na ulinzi

usimwamini freetown is vere vere,,,bora utumie remoti
 
Umeona eeh...?
Bahati nzuri mi sina mpango wa kuwa member...
Mi mgeni tu kwa leo kwa kuwa Kimey kanialika...:becky:
Usiogope mamito hao makabaila nikiwepo hawata fanya chochote nipo kukulinda! Karibu u join the friends of JJ.
 
asante kwa kujali maslahi ya Big......aseme neno tu, na atampata yeyote including fl

Mkuu the st. is looking for ya....looks like a probe committee is needed....
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…